Psalms 105:21-22

21Alimfanya mkuu wa nyumba yake,
mtawala juu ya vyote alivyokuwa navyo,
22 akuwaelekeza wakuu wa mfalme apendavyo
na kuwafundisha wazee wake hekima.
Copyright information for SwhNEN